Connect with us

General News

Azimio wapeleka notisi ya maandamano ya wiki ijayo kwa mkuu wa polisi Nairobi – Taifa Leo

Published

on

Azimio wapeleka notisi ya maandamano ya wiki ijayo kwa mkuu wa polisi Nairobi – Taifa Leo


Azimio wapeleka notisi ya maandamano ya wiki ijayo kwa mkuu wa polisi Nairobi

NA MARY WAMBUI

VIONGOZI wa mrengo wa Azimio la Umoja-One Kenya Wycliffe Oparanya, Eugene Wamalwa, Jeremiah Kioni na George Wajackoyah leo Jumatano wamepeleka notisi ya maandamano yao ya juma lijalo kwa mkuu wa polisi Nairobi Adamson Bungei.

Wamemkabidhi katibu wa Bungei barua hiyo kwa sababu yeye mwenyewe hakuwa ofisini.

Tunaandaa habari kamili…Source link

Comments

comments

Facebook

Trending