[ad_1]
Corona: Gavana ashauri wakazi wapokee chanjo
NA KENYA NEWS AGENCY
SERIKALI ya Kaunti ya Mandera, imetoa wito kwa wakazi wa kaunti hiyo, wajitokeze ili wapate chanjo dhidi ya corona kampeni zinapoendelea.
Gavana wa kaunti hiyo, Bw Ali Roba, aliwahimiza wakazi wajitokeze kupokea chanjo.
“Tuko hatarini kwa kwa sababu tumepakana na nchi za Somalia na Ethiopia. Kila mmoja anafaa ajitokeze ili kupambana na janga hilo hatari,” akasema Bw Roba.
[ad_2]
Source link