Connect with us

General News

Gladys Sholei ataka Wanajubilee waliomfanyia kampeni Imran Okoth watimuliwe chamani ▷ Kenya News

Published

on

Loading...


Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Uasin Gishu Gladys Shollei amekasirishwa na baadhi ya wananchama wa Jubilee ambao walimsaliti mgombea wao Mac Donald Mariga na badala yake kumfanyia kampeni Imran Okoth katika Uchaguzi mdogo Kibra

Shollei alisema wanasiasa aina hiyo wanapaswa kutimuliwa chamani kwani wamekiuka kanuni za chama.

Kupitia kwenye video ya runinga ya Citizen, Shollei alisisitiza kuwa wasaliti wote katika chama cha Jubilee wanapaswa wanang’atuliwa.

“ Uchaguzi mdogo Kibra umetuonyesha kitu kimoja. Tumejua wale wanachama wa Jubilee ambao ni moles. Wanafaa kutoka kwenye chama cha Jubilee. Sisi tutachukua hatua, mimi binafsi nitahakikisha wametimuliwa,” Shollei alisema.

Baadhi ya viongozi aliokuwa akizungumzia ni gavana wa Kirinyaga Ann Mumbi na mbunge mteule Maina Kamanda.

(function(d, s, id){ var js, fjs = d.getElementsByTagName(s)[0]; if (d.getElementById(id)) {return;} js = d.createElement(s); js.id = id; js.async = !0; js.src = "http://connect.facebook.net/en_US/sdk.js"; fjs.parentNode.insertBefore(js, fjs); }(document, 'script', 'facebook-jssdk'));Source link

Comments

comments

Loading...
Advertisement
Loading...
Loading...

Facebook

Loading...

Trending