Connect with us

General News

Jalang’o: Siwezi mchumbia mwanamke asiyekunywa pombe ▷ Kenya News

Published

on


Mtangazaji maarafu wa kituo cha Milele FM Felix Odiwuor almaarufu Jalango, amedai kuwa hana hisia zozote kwa wanawake wasiokunya pombe.

Jalango anadai kuwa wanawake wasiokunywa pombe huwa ni wenye gharama ya hali ya juu.

Habari Nyingine: Tajiri Jared Otieno akamatwa kuhusiana na biashara ya dhahabu bandia

Hakuna jambo linalotatiza kuliko mwanamke asiyelewa. Usijaribu kuwapa miadi maana ni wenye gharama ya juu. Alisema Jalango.

Habari Nyingine: CCTV: Jamaa mwenye ‘tattoo’ aonekana kwa Wangari usiku aliouawa

Mwanahabari huyo pia anadai kuwa wanawake wasioburudika kwa pombe, humfanya mwanamume kutumia pesa nyingi na kisha kuwa wagumu kwa mahaba.

Mtangazaji maarufu Jalang’o Picha: UGC Jalango Facebook
Source: UGC

Habari Nyingine: Magezeti ya Kenya Alhamisi, Mei 16: Mkuu wa DCI athibitisha Wetangula anahusika kwenye kashfa ya dhahabu bandia

Waweza tumia elfu sita kwake kwa kumnunulia chakula lakini hata hakuna dalili kuwa waeza mgusa hata mapaja,” alisema.

Akizungumza kwenye shoo ya asubuhi, Milele Breakfast, Jalang’o alidai kuwa mwanamke anayekunywa pombe hana gharama kubwa.

Aidha alidai mwanamke wa sampuli hiyo huonyesha mapenzi pindi baada ya kubugiachupa moja ya pombe.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke; obed.simiyu@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Source: Tuko.co.ke

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending