Connect with us

General News

Kijogoo ajutia kufungua sava na kula uroda hadharani Uhuru Park ▷ Kenya News

Published

on


Mwanamume mmoja amepigwa faini ya KSh 1,500 kwa kosa la kushiriki ngono hadharani katika bustani ya Uhuru Park jijini Nairobi.

Kanara Maina na mpenzi wake Joyce Wanjiku walipatikana na maafisa wa Kaunti ya Nairobi wakifanya kitendo hicho hadaharani.

Habari Nyingine: Kaka yake Gavana Jackson Mandago auawa kinyama

Kinara Maina akiwa mahakamani.Picha: UGC
Source: UGC

Habari Nyingine: Washukiwa 3 zaidi wakamatwa kuhusiana na mauaji ya mabawabu Vihiga

Kwa mujibu wa Capital FM, hukumu hiyo ilitolewa na hakimu Joseline Onga’yo mnamo Jumatatu, Mai 29.

Wawili hao walipatikana na makosa ya kukiuka sheria za kaunti ya Nairobi ya kushiriki tendo la ndoa hadharani.

Maina alikubali makosa yake na kuiomba korti radhi na kuapa kutorudia tena kosa hilo.

Habari Nyingine: Dereva wa matatu apigwa pingu kwa kujaribu kumteka nyara afisa trafiki wa kike

Hata hivyo, korti ilipuuza ombi lake na kumtoza faini ya KSh 1,500 ama kufungo jela mwezi mmoja.

Wawili hao walifumaniwa wakishiriki ngono na baadaye kuachiliwa huru kwa dhamana ya KSh 500.

Wanjiku alishindwa kufika mahakamani kusikiza kesi hiyo dhidi yake.

Source: Tuko

Source link

Comments

comments

Trending