Connect with us

General News

Muigizaji wa Papa Shirandula Awinja awaacha mafisi wakimeza mate ▷ Kenya News

Published

on


Muigizaji wa kipindi cha Papa Shirandula Jacky Vike, almaarufu Awinja, amewaacha maafisa wakimeza mate baada ya kutokelezea akiwa amevalia bikini.

Licha ya kuwa ni mama wa mtoto mmoja, Vike ana umbo la kipusa anayebaleghe.

Habari Nyingine: Sonko atakiwa kurudi jela kuhudumu kifungo chake

Wakati wa ziara ya kujivinjari katika ufuo wa bahari Pwani, Awinja aliamua kuwapa wengi nafasi ya kucungulia mwili wake mtamu.

Aliingia kwenye bikini na kumpa mpenzi wake kamera kunakili wakati huo muhimu.

Habari Nyingine: Feri ya Likoni: Jamaa aanguka kwenye Bahari ya Hindi

Licha ya kuwa amejifungua, mwili wake hauna nyama zilizolegea na badala yake ana mwili wa kutamaniwa.

Bikini nayo ilimbana kiasi cha timu mafisi kutazama walichotaka kukiona.

Katika kile kiliwakera mafisi ni Awinja kusema kuwa picha hiyo akiwa na bikini ilinakiliwa na mwenye mboga.

Wengi walitamani angalikuwa bado ni windo msituni ili wajaribu bahati yao.

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending