Connect with us

General News

Mwanamuziki maarufu wa Afrika Kusini Johnny Clegg afariki dunia ▷ Kenya News

Published

on


Mwanamuziki mkongwe na maarufu kutoka Afrika Kusini, Jonny Clegg ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 66

Clegg ambaye alikuwa akifanya miziki za Kizulu nchini humo alifariki Jumanne, Julai 16, baada ya kuugua kwa muda mrefu kutokana na ugonjwa wa saratani.

Akithibitisha habari za kifo chake, meneja wake Roddy Quin alisema marehemu alikata roho akiwa na familia yake nyumbani kwake.

Habari Nyingine: Zari Hassan akanusha madai kuwa hummezea mate gavana Sonko

Mwanamuziki maarufu wa Afrika Kusini, Johnny Clegg afariki dunia
Source: UGC

Habari Nyingine: AFCON 2019: Fainali kati ya Senegal na Algeria yaiondoa Harambee Stars lawamani kwa matokeo mabovu

” Ni huzuni mkubwa kwa familia na tungependa vyombo vya habari kuipatia familia muda wa kuomboleza mpendwa wao kwa faragha,” Quin alisema.

Clegg atakumbukwa kwa juhudi zake za kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ikizingatiwa alikuwa mzaliwa wa Uingereza.

Read: ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected]; [email protected] au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Source: Tuko

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending