Connect with us
Loading...

General News

Nairobi: Darasa laporomoka Dagoreti, wanafunzi kadhaa wahofiwa kuaga dunia ▷ Kenya News

Published

on


Wanafunzi kadha wanahofiwa kuangamia kwenye mkasa wa ukuta kuporomoka katika Shule ya Precious Talent, eneo la Ng’ando, mtaani Dagoreti, jijini Nairobi.

Shule hiyo ipo kwenye barabara ya Ngong’; shughuli za uokozi zinaendelea kwa sasa huku ikiarifwa tayari wanafunzi 5 wametolewa kwenye vifusi na kupelekwa Hospitali Kuu ya Kenyatta (KNH).

Mengi zaidi ni punde…

Source link

Advertisement
Loading...
Comments
Loading...

Facebook

Loading...

Trending

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com