Connect with us

General News

Shoga Mkenya George Barasa amumezea mate hadharani jamaa mzungu kwenye Facebook ▷ Kenya News

Published

on


Shoga maarufu raia wa humu nchini George Barasa almaarufu Joji Baro alisisimua mitandao ya kijamii hivi majuzi baada ya kumtamani na kummezea mate jamaa mmoja mzungu

Barasa ambaye ni mmoja wa mashoga ambao wameweka wazi jinsia yao, alimtamani hadharani mzungu huyo ambaye alikuwa amechapisha video fupi kwenye mtandao wa Facebook akijistarehesha.

Habari Nyingine: Mzungu awaanika peupe vipusa wa Kenya, asema wanalazimisha mahaba

Watumiaji wengi walimfananisha jamaa huyo na Yesu huku wengine wakidai huenda alirudi kama mwizi jinsi maandiko ya Biblia yanavyosema na wanadamu hawajajua.

Barasa kwa mtazamo wake, alimuona mzungu huyo akipendeza sana na kudai anapatika kanisani na hivyo ameaanza juhudi za kumsaka.

” Oh yesu, huyu anapatikana kanisani? Hebu na nikimbilie huko nimuwinde,” Barasa aliandika Facebook.

Habari Nyingine: Mzungu awaanika peupe vipusa wa Kenya, asema wanalazimisha mahaba

Habari Nyingine: Alichosema afisa wa magereza kwenye mtandao kabla ya kuuawa

Barasa amewahi angaziwa hapo awali na jarida la TUKO.co.ke, anatambulika kuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili na tayari ametoa kanda kadhaa.

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke; obed.simiyu@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO TV

Source: Tuko

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending