Connect with us

General News

Sosholaiti Huddah Monroe asema anajutia kujichanja chale mwilini ▷ Kenya News

Published

on


Kuna vitu au mambo kadha wa kadha ambayo wanadamu hufanya wakiwa na pupa na kisha baada ya miaka kadhaa wanaanza kujutia

Haya yamedhihirishwa wazi na sosholaiti maarufu Huddah Monroe ambaye alisema anajutia sana kujichanja chale mwilini kwani kwa sasa haoni umuhimu wake kabisa.

Habari Nyingine: CCTV: Jamaa mwenye ‘tattoo’ aonekana kwa Wangari usiku aliouawa

Habari Nyingine: Alichosema afisa wa magereza kwenye mtandao kabla ya kuuawa

Kupitia ujumbe alouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Huddah alisema kuwa aliwahai kanywa dhidi ya kujichanja chale ila alipuuzilia mbali onyo hilo.

” Wakati mwingine mimi hujutia sana, mimi hujiuliza mbona niliamua kujichanja chale mwilini, nakumbuka kabla nijichore mwili, kuna mtu alinionya dhidi ya kufanya hivyo ila nilimpuuzilia mbali,” Huddah aliandika Instagram.

Habari Nyingine: Francis Atwoli: Nina wake 2, watoto 17 na ng’ombe 26

Habari Nyingine: Raila Odinga ajipata pabaya Muhoroni, wafuasi wamkemea vikali wakimtaja kuwa msaliti

Huddah pia aliwashauri vijana wawaheshimu wakubwa wao na kila mara watie maanani ushauri wanaopatia kwani utawanufaisha katika nyakati za usoni.

“Vijana wenzangu, hebu na mtilie maanani ushauri mnaopatiwa na wakubwa wenu, ushauri huo utawasaidia sana kwa wakati mmoja,” Huddah alisema.

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke; obed.simiyu@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko News

Tazama habari zaidi kutoka TUKO TV

Source: Tuko News

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending