Connect with us

General News

Tabitha aidhinishwa na wazee kuwania wadhifa wa seneta – Taifa Leo

Published

on


Tabitha aidhinishwa na wazee kuwania wadhifa wa seneta

Na MACHARIA MWANGI

BARAZA la wazee Kaunti ya Nakuru limemwidhimisha Mkurugenzi Mkuu wa Keroche Breweries, Bi Tabitha Karanja, kuwania kiti cha Useneta kaunti hiyo.

Meya wa zamani wa kaunti hiyo, Bw Benson Mwangi aliongoza sherehe hiyo Jumatatu, akisema Bi Karanja ni mchapa kazi na ndiye anayefaa.Source link

Comments

comments

Facebook

Trending