Connect with us

General News

Tanasha Donna adokeza kuhusu kupata mtoto na mwanamuziki Diamond Platinumz hivi karibuni ▷ Kenya News

Published

on


Mpenzi wa mwanamuziki nyota Diamond Platinumz huenda anatarajia mtoto wa kwanza na mwanamuziki huyo kulingana na jumbe kadhaa alilozichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram hivi majuzi

Jumbe hizo ziliwafanya wafuasi wake wabashiri kuwa Tanasha ambaye amechumbiana na Diamond kwa takribani miezi sita yuko katika harakati ya kuanzisha familia yake.

Habari Nyingine: Mbunge wa Rarieda Otiende Amollo akanusha madai ya Raila Odinga kuzomewa Muhoroni

Tanasha alisema amesubiri sana wakati atakapopokea baraka hiyo na kudai itakuwa hivi karibuni.

” Natarajia baraka tele na itakuwa hivi karibuni, Mungu ni mwema,” Tanasha aliandika Instagram huko akifuatisha picha za miguu ya mtoto.

Habari Nyingine: Raila adai vyombo vya habari viliwapotosha Wakenya kuhusu SGR Macharia: SGR lazima itafika Kisumu

Tanasha ambaye ni mtangazaji wa stesheni ya NRG pia alichapisha picha ya jumba la kifahari la Diamond lililoko Tanzania na kudai ni makazi yake na mwanamuziki huyo.

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke; obed.simiyu@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO. TV

Source: Tuko

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending