Connect with us

General News

Wazazi washauriwa kulinda watoto dhidi ya baridi – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Wazazi washauriwa kulinda watoto dhidi ya baridi – Taifa Leo

Wazazi washauriwa kulinda watoto dhidi ya baridi

Na KENYA NEWS AGENCY

HUKU watu wakiendelea kujumuika na wapendwa wao wakati huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya, wazazi wameshauriwa wahakikshe kuwa wanawakinga watoto dhidi ya baridi ili kuzuia maradhi ya pumu.

Mtaalamu wa masuala ya magonjwa ya kupumua Dkt Thiakunu Mwirabua amesema kuwa kuna hatari ya watoto kuugua ugonjwa wa pumu wakati huu wa msimu wa mvua iwapo wazazi wao hawatawavalisha mavazi mazito.“Tunafaa kuwalinda watoto wetu na kuwavalisha mavazi ya kuzuia baridi kupenya mwilini mwao.

Ikiwezekana tuwazuie wasitembee wakati hali ya anga hairidhishi na kiwango cha baridi kiko juu,” akasema Dkt Mwirabua ambaye alikuwa akizungumza kwenye kliniki ya Nyambene, eneobunge la Igembe ya Kati.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending