Connect with us

General News

Ajabu! Wakenya kumtetea Rais baada ya kuonekana katika trafiki

Published

on


Wakenya waliweza kumtetea rais wao Uhuru Kenyatta baada ya kuonekana ama kupatikana katika trafiki akiendesha gari yeye mwenyewe.

Aliweza kupigwa picha na Dennis Itumbi na kisha kuiweka katika mtandao wa kijamii wake.

Baba wa walemavu apokea nyumba ya Rais iliyokataliwa

Katika picha unamuona rais Uhuru Kenyatta akiwa amekwama katika trafiki na mwanamke ambaye anamuongelesha,watu wengi wanaamini kuwa mwanamke huyo ni mwombaji tu wakawaida.

Mwanamke huyo anajaribu kumuongelesha rais Uhuru kupitia dirisha ya gari ya rais. Uhuru aliweza kufungua dirisha ya gari yake ya Mercedes G-Wagon ili aweze kusikia kusikia kile mwanamke huyo alikuwa anamwambia.

Haiko wazi kuwa rais kama aliweza kumpa mwanamke huyo pesa ama wasaidizi wake pamoja na walinzi wake waliweza kumpa pesa zozote ama usaidizi wawote.

Moses Kuria promises that 2022 showdown with DP Ruto is unstoppable

Wananchi hawakuweza kukaa kimya walipoona picha hiyo na kisha kuanza kumtetea rais Uhuru katika mitandao yao ya kijamii.

Eddy ambaye ni mkenya aliweza kuchambua hali hiyo katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram, kuchambua huko kuliweka kuinua swali ambalo wengi waliweza kulichangia.

“Why can’t they let our president just be human for a day and experience the normal life that we live without flooding him all over then P.R on social media?”

Akiongeza “Mr.president next game ya Harambee Stars tunakualika kwa terraces tuwatch game pamoja.”

Zifuatazo ni athari ambazo wakenya wengi hawangekaa bila kufanya kuhusu jambo hilo;

e.njomo: This is so fantastic. At times it is good to break away from protocol and enjoy leisure. Greet the president @ukenyatta

njerimuthaka: At times there is so much happening around H.E we forget he is also human who loves his quality time..he loves his beer, he loves driving and most of all he enjoys spending time with his family …. #Kenya001

PATANISHO: Hutaki kunirudia lakini nirudishie kitambulisho changu!

keem_money: Wow! In a Gwagon ??? I would go insane if I spotted him in traffic ?

switkami: The president? Driving all alone? Nairobi traffic? Nairobi roads? Driving himself? And @dennisitumbi ,you got the guts to post such on social media?

shikunginyo: Next time he’ll definitely not drive out in a G-wagon.?? awesome though i bet it can be very boring to be driven around throughout and have half of Nairobi cops watching out for you.

collins.ochieng: @switkami my sister the president is also human,…he also needs a time to drive his cars,meet his non government friends and so on.afteral protection comes from God only

lilian_muthungu: We all need some time alone. ?

 

 

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending