Thursday, 10 September 2026
Kenyan Digest

Polisi wawili kuaga dunia na abiria wengine 10 kupata majeraha Kwale

2 min read
Published 4 March 2019

Polisi wawili wameweza kuaga dunia na watu wengine kumi kupata majeraha katika ajali ya barabara eneo la Waa mjini Kwale,walisema kuwa ajali haina kinga lakini nini kilicho sababisha ajali hiyo?

How the police used technology to smoke out a wife beater

Ajali hiyo ilitokea Jumatatu asubuhi barabara kuu ya Likoni kuenda Lunga lunga,ajali hiyo ilitokea baada ya tuk tuk kugongana na basi ya abiria  kumi na nne.

‘Shetani ashindwe’ William Ruto shouts at Raila over car donation rejected by Kisumu church

OCPD wa eneo la Matuga Joel chesire alisema kuwa uchunhuzi unaendelea kufanyika kubaini kiini cha ajali hiyo iliyosababisha kifo cha afisa hao wa polisi.

Polisi hao walikuwa wamebebwa na tuk tuk walipokumbana na kifo hicho cha ajali hiyo.Mili ya marehemu iliweza kupelekwa katika chumba cha kuifadhi maiti cha (Coast general hospital).

Maisha yetu yako hatarini asema ‘fake Uhuru’ na kufanya mashtaka

KWINGINEKO: Nikuwa..

Wanafunzi sitini wa shule ya upili ya wasichana ya st Brigid Nangwe kaunti ya Bungoma waliweza kuumia baada ya umeme kuwapiga wakiwa darasani.

Huyu ni kama fisi tuu! MP calls Uhuru a hyena that is cannibalizing his children

Wanafunzi hao walikuwa darasani walipokuwa wakisoma masomo yao ya usiku walipokumbana na kisa hicho,saa mbili usiku huku kikisababisha  kukanyagana kwa wanafunzi hao huku wakikimbilia kuokoa maisha yao.

Wanafunzi hamsini waliweza kutibiwa na kurudi shuleni bali kumi wako hospitalini kwa matibabu lakini wako katika hali mzuri.

Vile Hakimu wa Nyeri Pauline Omungala alivyomuua mume wake Robert

mwalimu mkuu wa shule hiyo ya Brigid Fransisca Munyasia aliweza kusema kuwa wanafunzi hao wanaendelea na kushauriwa kutokana na kitendo hicho.

Mwalimu huyo Munyasia aliweza kuchukua hatua zaidi na kupigia serikali ya kaunti ya Bungoma kupitia kwa namba ya jambo la dharura na kuiagiza umeme huo uweze kutengenezwa ili kuzuia maisha ya kesho ya watu na hasa kwa maisha ya wanafunzi walio na ndoto ya kesho.