Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi Emmanuel Otieno almaarufu Jadudi, ambaye wananchi wengi walimchangia millioni 6.4 ili aweze kuenda nchini India kufanyiwa operesheni mwaka wa 2015 aaga dunia.
Jadudi aliweza kufariki Jumatatu jioni, huku ugonjwa wake ukiwa umemsumbua tangu 2012.
‘I am HIV+ with three sexual partners, however one of them has no clue,’ Reveals city woman
Aliweza kuwa katika mstari wa kwanza katika mitandao ya kijamii baada ya mwandishi Jackson Biko, kufichua siri ya Jadudi ya kupambana na ugonjwa wa uvimbe wa ubongo.
Katika ujumbe wa Jackson aliweza kuandika ‘The thing in Jadudi’s head’ ili kuwawezesha wananchi kuinuka na kisha kuanza kumsaidia kwa kutoa pesa.
Wananchi waliweza kupata millioni 6.4 ili kuweza kumlipia deni ya hospitali ambapo ilikuwa inatakikana millioni moja.
Pesa hizo zilimsaidia Jadudi kuenda India ili kufanyiwa operesheni ya ubongo, aliweza maliza masaa manne akiwa anafanyiwa operesheni katika hospitali ya Apollo.
Maisha yetu yako hatarini asema ‘fake Uhuru’ na kufanya mashtaka
Kifo chake kinakuja tu mwaka mmoja baada ya familia yake na (African Cancer Foundation) kujitokeza na kuwashukuru waliomchangia Jadudi na kumuwezesha kuenda India kutibiwa.
Kulingana na meneja mwelekezi wa AFC Dorothy Nyong’o operesheni hiyo ya ubongo haikufaulu, na kutembea, kula kwake na pia hali ambayo alikuwa Jadudi iliwezesha deni hiyo kupanda hadi kiwango familia haingelipa.
Katika mtandao wa kijamii wa twitter wananchi waliweza kutuma rambirambi zao kwafamilia. Zifuatazo ni baadhi ya rambirambi wananchi waliweza kutuma katika mtando huo;
“May he Rest In Peace and his family be comforted. Bikozulu and Zawadi Nyongo May you be blessed for what you did for Jadudi,” Missy Jane Koigi said.
“You fought the fight. You finished the race. RIP Jadudi,” Romana Alfonse said.
“Fare thee well. You fought the fight with bravery,” Wendy Otieno tweeted.
“Janet Kanini & Jadudi Rest Easy Champions, your fight against cancer was that of resilience, perseverance and determination. R.I.P warriors,” Frank said.
“Oh no…. He’s been on my mind. RIP warrior!” Kendy Yvonne alisema.
”Shine on bro. To me, you were a former classmate and brother. I remember you were even a prefect. You have battled Cancer for a very long time,” Ngoje Kim aliandika.
Pumzika mahali pema shujaa Jadudi.
Read more:



