Thursday, 10 September 2026
Kenyan Digest

Wakenya kuomboleza kifo cha muigizaji wa kipindi cha 'Selina' Kone

2 min read
Published 1 March 2019

Wakenya wanavyo omboleza kifo cha msanii Chris Kantai,pia wameweza kupatwa na mshtuko kwa kifo cha muigizaji wa kipindi cha Selina kinacho onyeshwa katika runinga ya Maisha Magic.

R.I.P: Kantai kuaga dunia baada ya kulazwa hospitali kwa siku mbili

Kone Nouhoum almaarufu Reagan aliweza kufariki baada ya kuwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi kwa muda wa miezi mitano.

Kone Nouhoum

Wakenya wanavyo omboleza kifo cha msanii Chris Kantai,pia wameweza kupatwa na mshtuko kwa kifo cha muigizaji wa kipindi cha Selina kinacho onyeshwa katika runinga ya Maisha Magic.

Hii ni baada ya kuhusika katika ajali ya barabara mwaka jana Novemba, aliweza kuwa katika kitengo katika hospitali ya Nairobi.

Kulingana na muigizaji mwenzake Pascal Tokodi aliweza kusema kuwa Kone alikuwa ameenda upasuaji tofauti kwa maana alikuwa ameumia uti wa mgongo wake.

RIP: Mtangazaji Mutahaba kufariki akipokea matibabu Afrika Kusini

Kone aliweza kuwa na ugonjwa wa matatizo ya kupumua bado akiwa katika kitengo hicho.

Mnamo mwaka jana rafiki wa Kone wa karibu sana aliweza tuma ujumbe katika mtandao wake wa kijamii na kusema kuwa wanachango wa Kone,

Hii ilikuwa kwa sababu walikuwa wanataka kumchangia ili aweze kulipa deni la hospitali.

Aliweza kusema kuwa..

“Kone still needs our help guys….. His bills are piling up and it’s getting heavy for the family every single day
If you’re available on the 8th please come through to the all saints cathedral and let’s all raise some funds for him
If you won’t be free to come, you can send to the pay bill on the poster and on the bio
#Letsdoitforkone
Any amount will go a long way, Asanti
Help me share this poster,”
Aliandika rafiki yake.

Pia aliweza kuweka picha ya muigizaji huyo akiwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU).

Kone ameweza acha familia changa sana mke mmoja na mtoto wa mvulana mmoja, muigizaji huyo alikuwa muislamu huku mazishi yake ikiwa alasiri ya Alhamisi.

Mashabiki waliweza tuma rambirambi zao kwa mtandao wa kijamii wa Instagram,zifuatazo ni rambirambi za marafiki,mashabiki na wengineo.No words can express this.
Rest in peace #Kone pic.twitter.com/dNSk8q1Dzw— Mtesi254 (@Denzie254) February 28, 2019

theaviewayAny one who had the privilege of meeting you, left laughing, happier. Acting alongside you on Checklist for @maishamagiceast gave me by far the best moments on any set I’ve stepped on. We genuinely had fun while we worked. Rest now Kone. ? #RIPKone

victor_kalya RIP

shifdiana  RIP

Mungu ailaze roho yako mahali pema.