Waziri wa hazina Henry Rotich yuko sasa machoni mwa kurugenzi la uchunguzi (DCI) katika kaunti ya Kiambu.
Kulingana na wanahabari wa polisi waliweza kusema kuwa waziri Rotich yumo katika ofisi hiyo ili kuweka wazi kuhusu bwawa la Kimwarer kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Meet DP William Ruto’s pilot, Captain Mario Magonga (Photos)
Bwawa ambalo limekuwa katika mstari wa mbele kwa wananchi wengi na pia katika vyombo vya habari.
Rotich ambaye amekuwa katika ofisi hizo tangu saa kumi na moja asubuhi, anatarajiwa kuweka wazi na kusema kule billioni 21, ambazo ziliteuliwa na kulipwa kwa ajili ya bwawa ambalo haijaweza kuonekana tangu 2017.
Mike Sonko celebrates birthday amid sad news over the death of his grandma
Wiki jana waziri huyo alisema kuwa pesa ambazo ziliweza kumlipa mwanakandarasi wa kazi hiyo zilikuwa kulingana na sheria.
Mmoja wa wachunguzi aliweza kusema kuwa Rotich ataweza kujibu maswali kadha wa kadha kuhusiana na bwawa hilo, kwanza ikiwemo kuachilia pesa kwa kampuni ya Italian kabla ya mradi huo kuanza.
Rotich pia anatarajiwa kujibu swali kwanini aliweza kuenda kinyume na shauri la mwanasheria mkuu na kisha kuweza kutia sahihi na kampuni hiyo na kisha kuweza kuwapa pesa.
Rotich aliesema kuwa kulipwa kwa kwanza kwa mwana kandarasi huyo ni kutoka kwake na kuja katika mahali pa mradi na kuanza kazi yake.
Alexis Sanchez fears a two-month absence at Manchester United
Kwa sasa DCI ameweza kuita kampuni 27 pamoja na waelekezi wa kampuni hizo waweze kurekodi na kuandikisha kauli kwa nini waliweza kupokea malipo zaidi kuhusiana na miradi hiyo ya kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Waziri Rotich akipatikana na hatia atakua miongoni mwa watu walio patikana na kashfa ya mali ya umma, aliweza kuenda na wakili wake Katwa Kigen.
Katika miezi ambayo imepita tumeweza kuona wizara ya DCI imeweza kuwachunguza viongozi wengi ambao wanahusiana na kashhfa nyingi serikalini.
Huku wengi wakiweza kuachiliwa kwa dhamana.



