Friday, 31 July 2026
Kenyan Digest

Idadi ya wanaojitokeza kupimwa virusi vya Corona bado ni ndogo

1 min read
Published 4 May 2020
Idadi ya wanaojitokeza kupimwa virusi vya Corona bado ni ndogo

Licha ya serikali kusisitiza umuhimu wa wakaazi wa mitaa ya Eastleigh kujitokeza ili wapimwe virusi vya corona, wengi bado wanaipa shughuli hiyo kisogo.
source