Friday, 31 July 2026
Kenyan Digest

Mkaazi wa Mathare auawa, wakaazi wanadai alipigwa na polisi

1 min read
Published 4 May 2020
Mkaazi wa Mathare auawa, wakaazi wanadai alipigwa na polisi

Baadhi ya wakaazi wa Mathare hapa nbi wamefanya maandamano kufuatia kisa ambapo mtu mmoja anadaiwa kuuawa na polisi kwa kukaidi amri ya kafyu.
source