Tuesday, 9 June 2026
Kenyan Digest

Mtu mmoja aliyetoroka baada ya kupatikana na virusi afariki Old Town

1 min read
Published 8 May 2020
Mtu mmoja aliyetoroka baada ya kupatikana na virusi afariki Old Town

Mtu mmoja miongoni mwa watu watano waliotoweka baada ya kudhibitishwa kuambuzikwa virusi vya covid-19 ameaga dunia huko oldtown mjini mombasa.
source