Baada ya uvamizi wa kigaidi katika eneo la Riverside, polisi waliwasili jumatano asubuhi katika eneo la Guango Mali Ruaka, baada ya kusemekana gari lililo tumika katika utekelezaji wa ugaidi huo kuonekana mara kwa mara katika eneo hilo, na mmoja wa magaidi kuhishi jumba nambari E9 Guango Mali.
Photo of the day: Meet the woman who touched many hearts during 14 Riverside attack
Majirani walisema kuwa waliwapigia polisi simu walipoona gari hilo la Gaidi katika eneo la Riverside.
Kitengo cha Polisi cha kupambana na Kigaidi walikita kambi katika eneo hilo. Mlinzi wa eneo la Guango akiongea na gazetti la the star, alisema kuwa mwenye gari hilo alikuwa bashasha.
Football enthusiast, James Oduor who died during the Riverside attack was to celebrate his birthday today
“alikuwa anavaa T-shirt na kutusalimia”alisema pia aliweza kusema kuwa mshukiwa huyo alihamia katika Guango mali machi 21 mwaka jana.
Aliongezea na kusema kuwa alimuona na mke ilhali hakuweza kuona mtoto hata mmoja Marafiki wa mshukiwa huyo wako katika mahojiano na polisi. Wanawake wawili wako mikononi mwa polisi na mabomu kupatikana katika nyumba ya mshukiwa huyo wa kigaidi.
PHOTOS: Relatives of the 14 Riverside attack victims arrive at Chiromo mortuary for body identification
Mapema rais Uhuru Kenyatta akihutubia taifa jumatano asubuhi alisema kuwa operesheni ilikwisha saa 9:30 asubuhi, na watu 14 kufariki uvamizi huo wa kigaidi.



