Saturday, 10 October 2026
Kenyan Digest

Rais Kenyatta aongoza timu ya Jubilee Kajiado

1 min read
Published

Rais Kenyatta amewaonya wananchi kuwa siasa za mgawanyiko zitaendeleza umaskini nchini na kuwataka kueneza umoja wa nchi kwa manufaa ya wote.
source