Ratiba hiyo ilitangazwa na Kamati maalum inayoshughulikia mashindano ya vilabu baraNi Afrika jijini Cairo nchini Misri. Klabu 58 zinashiriki katika hatua ya awali, kuwania taji la klabu bingwa huku mabingwa wa zamani TP Mazembe, Esperance de Tunis na Wydad Athletic, wakipangwa katika hatua ya kwanza ya michuano hii. Nalo taji la Shirikisho, litashuhuhudia klabu 42 […]



