Daktari wa kwanza nchini Kenya aliyefariki duniani kutokana na ugonjwa hatari wa corona amezikwa nyumbani kwake kaunti ya Bungoma hii leo Jumatatu, Julai 13
Hafla yake ya mazishi ilihudhuriwa na waombolezaji wachache ikiwa ni moja wapo wa masharti yaliowekwa na wizara ya afya ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya COVID- 19.
Habari Nyingine: Aliyekuwa mpenzi wa Tecra Muigai ashitakiwa kwa mauaji
Dkt. Lugaliki aliyefariki kutokana na COVID- 19 azikwa
Source: Original
Mhudumu huyo wa afya aliyekuwa akifanya kazi katika Nairobi South Hospitali alifariki dunia Ijumaa, Julai 10.
Lugaliki ni miongoni mwa zaidi ya madaktari 250 ambao walikutwa na virusi vya corona tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa nchini mwezi Machi.
Dkt. Lugaliki aliyefariki kutokana na COVID- 19 azikwa
Source: Original
Madaktari wenzake wamemuomboleza Lugaliki kama daktari aliyependa kazi yake na alifanya kila awezalo kuyaokoa maisha ya wagonjwa.
Habari Nyingine: Huzuni kufuatia mtoto kudondoka kutoka orofa ya tatu na kuaga dunia
Lugaliki ni miongoni mwa ziadi ya madaktari 250 ambao walikutwa na virusi vya corona tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa nchini mwezi Machi.
Source: Original
" Kwa kweli mmoja wa madaktari wetu amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupatikana na virusi vya COVID-19," Ripoti ya chama cha madaktari ilisoma awali.
Lugaliki alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.
Dkt. Lugaliki aliyefariki kutokana na COVID- 19 azikwa
Source: Original
Lugaliki alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.Picha: Davis Bwayo/ TUKO.co.ke
Source: Original
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videos


