Walaghai waliojifanya kama rais Uhuru Kenyatta waliweza kumlaghai mwanabiashara wa kaunti ya Nairobi millioni 80 huku wakijifanya kuwa watamzawadi na zabuni za ikulu.
Wachunguzi kutoka kitengo maalum cha kuzuia uhalifu cha DCI (Special Crime Prevention unit) mwishoni mwa wiki waliweza kuwakamata washukiwa saba ambao wanaaminika walihusika na jambo hilo la kuwalaghai viongozi wa kampuni ya Sameer Group.
Wahalifu ambao walikuwa wamejiandaa, na kuiga sauti ya rais na kuikamilisha kama ya rais Uhuru, lakini hawakuweza kujua kuwa siku zao arobaini zimewadia.
Wachunguzi walisema kuwa walaghai hao waliweza kufanya kazi kama viongozi wa Ikulu ya rais.
Mhalifu aliyekuwa akimpigia simu mwanabiashara huyo aliweza kuiga sauti ya rais na kuongea sawa na sauti ya Uhuru, aliweza kumwambia mwanabiashara huyo kazi kubwa ya serikali na kuwaambia waweze kuchua kazi hiyo.
Ajabu! Wakenya kumtetea Rais baada ya kuonekana katika trafiki
‘Fake president’aliweza kumuuliza mwanabiashara huyo aweze kutuma pesa za msaada wa vifaa.
Aliweza kuhaidi mwanabiashara huyo kuwatuma viongozi wa Ikulu na wafanyakazi wengine katika ofisi yake ili kuchukua pesa hizo ambazo alikuwa amehitishwa.
Wanaume waliokuwa wamevalia nguo za pesa waliweza kuwasili ofisini mwa mwanabiashara huyo na kusema kuwa ni wafanyakazi na viongozi wa Ikulu ambao walikuwa wametumwa ili kuchukua pesa hizo.
‘Wafanyakazi hao wa Ikulu’ waliweza kuwasili na gari lililokuwa la dhamana na lilikuwa chini ya ulinzi wa polisi kuisha waliweza kuchukua pesa hizo na kupotea.
Vichwa ngumu! From Kepa to Messi: Footballers who refused to be substituted
Wana habari waliojuana na wachunguzi walisema kuwa polisi wa majambazi kutoka kituo cha polisi cha Milimani waliweza kuandikwa ili kulinda na kutumika dhidi ya matapeli wa Ikulu.
Ulaghai huo uliweza kujulikana wakati viongozi wa kampuni ya Sameer walipoandika barua kutafuta watazamaji na rais juu ya mpango wa zabuni.
Viongozi wa Ikulu waliweza kushtuka baada ya kupokea barua hiyo waliweza kuwapigia viongozi wa kampuni ya Sameer na kisha kuwauliza mpango wao wa zabuni hiyo na ‘fake president’.
Two drunk men arrested and charged with raping unconscious woman
Jambo hilo liliweza ripotiwa kwa polisi na katika makao makuu ya DCI na kisha kuanzisha uchunguzi, polisi pia wameweza kukamata gari ambazo zilitumika na walaghai hao kuchukua pesa hizo.
Walitumia Toyota Land Cruiser na V8s, walaghai waliokamatwa wanafahamika kama Joseph Waswa, Duncan Muchai, Isaac Wajekeche, William Simiyu, David Luganya, Gilbert Kirunja na Anthony Wafula.



