Sunday, 18 October 2026
Kenyan Digest

Familia ya Kipyegon Kenei yadai ukweli kuhusiana na mauaji

1 min read
Published
Familia ya Kipyegon Kenei yadai ukweli kuhusiana na mauaji

Kilio cha kudai haki na ukweli wa mambo kilisheheni katika mazishi ya Sajini Arnold Kipyegon Kenei katika eneo la Chamasis,Rongai, kaunti ya Nakuru.
source