Sunday, 20 September 2026
Kenyan Digest

Kinara wa ODM apokea matokeo ya vipimo vya corona

1 min read
Published 15 June 2020
Kinara wa ODM apokea matokeo ya vipimo vya corona

Kinara wa ODM Raila Odinga amepokea matokeo yake ya vipimo vya corona, na kuwashauri wakenya kujitokeza kwa wingi kupimwa, ili wabaini hali yao.
source