Michuano ya soka mzunguko wa kwanza, kuwania fainali ya bara Afrika kuwania taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani mwaka 2020 nchini Cameroon. Mataifa 16 yatashiriki katika michuano hiyo na yanafuzu kutoka kanda zote za mchezo wa soka barani Afrika. Eneo la Afrika Mashariki na Kati, itatoa mataifa mawili yatakayofuzu katika […]



