Friday, 2 October 2026
Kenyan Digest

Ni siku 6 tangu madaktari wa Cuba watekwe

1 min read
Published 25 April 2019

Huku operesheni ya kuwatafuta madaktari waliotekwa nyara huko Mandera ikiingia siku yake ya 6, huduma katika hospitali ya rufaa ya Mandera zimelemazwa.
source