Wednesday, 30 September 2026
Kenyan Digest

Soko la wakulima la Marikiti kubomolewa

1 min read
Published 6 May 2019

Wafanyibiashara katika soko la wakulima maarufu marikiti jijini Nairobi wana muda wa miezi mitano wahame ili kuacha nafasi ya upanuzi wa barabara.
source