Wednesday, 10 June 2026
Kenyan Digest

Unesco yatambua muziki wa rhumba kama turathi kuu – Taifa Leo

Staff
1 min read
Published 16 December 2021

Unesco yatambua muziki wa rhumba kama turathi kuu

Na AFP

PARIS, UFARANSA

MUZIKI aina ya rhumba hatimaye umetambuliwa rasmi na shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) kama urithi wa kimataifa.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na taifa jirani la Congo-Brazzaville zimekuwa zikiendesha kampeni ya kutaka Unesco kutambua rasmi aina muziki huo.

Utamaduni zinazolindwa na Unesco kama vile muziki wa rege – reggae- wa Jamaica.


About the author