Saturday, 20 June 2026
Kenyan Digest

Waliokuwa wakimezea mate kiti cha Waluke wabaki hoi

1 min read
Published 25 June 2020

Mbunge wa Sirisia John Waluke Ahamisi Juni 25 aliponea kifungo baada ya mahakama kumpiga faini kutokana na hatia aliyopatikana nayo.

Mbunge huyo pamoja na washtakiwa wenzake walitakiwa kulipa faini kubwa ambayo ni mara kadhaa ya fedha ambapo shirika la nafaka nchini NCPB ilipoteza.

Habari Nyingine: Mfanyibiashara amwandikia msajili wa vyama, ahifadhi jina Jubilee Asili

Mbunge wa Siria John Waluke. Picha: Standard
Source: Facebook

Hata hivyo, iwapo Waluke atakosa kulipa faini hiyo, basi atafungwa gerezani na kuhudumu kifungo cha miaka saba.

Mahakama iliwataka washtakiwa hao kulipa faini ya KSh 594M.

Mengi kufuata . . .