Wednesday, 9 September 2026
Kenyan Digest

Wanabiashara kuomba serikali ya kaunti ya kakamega kuuza pembejeo

1 min read
Published 23 January 2019

Wanabiashara kuomba serikali ya kaunti ya kakamega kuuza pembejeo

Wanabiashara wa kuuza pembejeo za kilimo kutoka kaunti ya kakamega wameitaka serikali ya kaunti kuwapa fursa ya kununua mbegu na mbolea kama njia ya kuwafaidi kibiashara.

Wakiongizwa na Bi Mwatumu Vugutsa wa baraka Agrovet eneo la shianda mumiasmasharikiwamesema kuwa wanakosawateja wa kununua mbolea na mbegu za upanzi kutoka kwa duka zao kwa ajili serikali inawauzia wakulima mbolea na mbegu moja kwa moja kwa bei.

Wakulima hao wanataka kupewa fursa ya kuuza pembejo hizo chini ya mpango wa serikali ya kaunti kama inavyopeana kandarasi za miradi mingine.

KATIKA KAUNTI HIYO:

 Pia wakulima wa miwa wametofautiana na usemi wa rais Uhuru Kenyatta kuwa malipo yao yatacheleweshwa kwa muda.

Wakizungumza mjini kakamega chini ya mwenyekiti wa muungano wao wa kenya federationa of sugarcane farmers Ibrahim Juma, pia wametaka makao makuu ya maswala ya sukari kuhamishwa kutoka nairobi hadi kisumu kuwa karibu na wakulima.