Sunday, 11 October 2026
Kenyan Digest

BALAA YA CHAKULA : Watu kadhaa wajeruhiwa Kitengela

1 min read
Published

Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya msukumano wa watu kutokea mjini Kitengela kaunti ya Kajiado, wakati wa shughuli ya kutoa msaada wa chakula.
source