Wednesday, 7 October 2026
Kenyan Digest

Gavana Joho ataka washukiwa wa ufisadi kutotumia kabila

1 min read
Published 19 March 2019

Gavana wa Mombasa Hassan Joho amewataka viongozi wanaoshukiwa kuhusika na ufisadi kukoma kutumia kabila zao kama kinga dhidi ya uchunguzi.
source