Monday, 12 October 2026
Kenyan Digest

HEKA HEKA ZA SHULE : Wazazi na wanafunzi wajiandaa

1 min read
Published

Mamia ya wazazi walimiminika katika maduka ya kuuza sare za shule na vitabu, katika harakati za kuwandaa watoto wao kufungua shule hapo kesho.
source