Wednesday, 7 October 2026
Kenyan Digest

Maafisa wa KDF waendelea kuhudumu katika uwanja wa JKIA

1 min read
Published 14 March 2019

Kwa siku ya pili mfululizo, wanahewa wa KDF wanaendelea kusimamia shughuli za usafiri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
source