Sunday, 11 October 2026
Kenyan Digest

Msamaha wa 'Jaguar' na Babu Owino

1 min read
Published

Wabunge Charles Njagua jina la utani Jaguar na Babu Owino hii leo walilazimika kuomba msamaha rasmi baada ya kufukuzwa kutoka bungeni.
source