Monday, 19 October 2026
Kenyan Digest

Mwanamume wa umri wa miaka 27 auawa kwa kupigwa risasi

1 min read
Published
Mwanamume wa umri wa miaka 27 auawa kwa kupigwa risasi

Mwanamume wa umri wa miaka 27 ameuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi wa kulinda msitu wa Kakamega katika eneo bunge la Shinyalu.
source