Mtangazaji wa nation media Dennis Okari aliweza kuungwa mkono katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram. Hii ni baada ya kuweka ujumbe uliofanya wanaume wengi wamuunge mkono kwa maana ata wako katika hali ya kama mtangazaji huyo.
Dennis aliweza kuendelea na maisha na kuweza kuoa kwa mara ya pili huku ndoa yake ya kwanza ikiwa imevunjika.
Watu wengi wanadhani huwa tunaongea na Dennis Okari – Betty Kyallo
Ndoa hiyo ilivunjika tu miezi kadhaa baada ya kuunganishwa na aliyekuwa mke wake mtangazaji wa habari katika K24 Betty Kyallo. Dennis aliweza chukua hatua nyingine huku akimuoa Joy Naomi.
Baada ya harusi hiyo, wakosoaji waliweza kusema mengi lakini Dennis hakujali walichokuwa wakisema.
Inaonekana wanaume walio katika hali kama ya Dennis wameweza kuungana pamoja na kumpongeza Dennis kwa kitendo hicho cha ujasiri alichokifanya.
Wawili hao Dennis na Naomi waliweza kuenda fungate yaani kwa kimombo (Honeymoon) baada ya harusi yao, wanaume hao waliweza kumpongeza huku wakimuomba Mungu awajalie na maisha mema.
Onyo!! Akothee aonya wasichana wake dhidi ya mimba za watu mashuhuri
Wameweza kutembelea maeneo tofauti ya utalii mjini Kualar Lumpur, huku wakijivinjari na kujipa raha, baada ya harusi ya mwanahabari huyo wanaume wengi wameweza kujitokeza na kumpongeza kwa wingi.
Ina maana kuwa wanaume wengi wamekosa kuendelea na maisha kwa ajili ya kuachana na wake zao, huku wakiogopa kuchukua hatua nyingine?
Honorable love! Everything you need to know about the Lawyer who’s won Waiguru’s heart
Dennis aliweza kuweka ujumbe katika mtandao wake wa kijamii uliosababisha mashabiki na wanaume kumuunga mkono na kumpongeza.
“Thanking God for destiny helpers, prayer warriors, family and friends. God has been good and we owe it to Him. Praying that God will move your mountains and propel you to your destiny,” Aliandika Dennis.
Kweli walisema kelele za chura haziwezi kumzuia ng’ombe kunywa maji. Baadhi ya maoni ya mashabiki na wanaume walio muunga mtangazaji huyo mkono ni kama yafuatayo.
iamkerandikevin: Hongera Dennis and your wife
jaccy_bosire: @dennisokari Pongezi tu sana..
art_urr: enjoy bro….and congrats to the both of you???
ne_maeri_: Happy for you brother!! God’s blessings!!
7denzel_: @bettymuteikyallo *look what you made me do*
the_ink_poet: @dennisokari from your heart to God’s plans. Stay blessed



