Friday, 2 October 2026
Kenyan Digest

Huduma Namba ni lazima?

1 min read
Published 26 April 2019

Ingawa mahakama ilionya serikali dhidi ya kushurutisha wakenya kujisajili kwa huduma namba sasa ni bayana kuwa wakenya watalazimishwa kujisajili.
source