Muda wa kuandaa: Dakika 10
Muda wa mapishi yenyewe: Dakika 40
Walaji: 3
Vinavyohitajika
- kuku
- uyoga kilo 1
- viazi 4
- vitunguu maji 2
- karoti 1.
- mafuta ya alizeti vijiko 3
- chumvi
- maji



