Senegal itamkosa mshambuliaji matata, wakati itakapoanza kampeni ya kutafuta ubingwa wa soka barani Afrika siku ya Jumapili dhidi ya Tanzania. Mane mwenye umri wa miaka 27, anatumia adhabu ya kutocheza mechi moja katika mashindano haya, baada ya kupata kuoneshwa kadi mbili za njano wakati wa mechi ya mwisho ya kufuzu katika michuano hii. Kocha wa […]



