Monday, 8 June 2026
Kenyan Digest

Mmiliki wa nyumba ang'oa paa la nyumba ya mpangaji

1 min read
Published 20 May 2020
Mmiliki wa nyumba ang'oa paa la nyumba ya mpangaji

Mzigo wa kulipa kodi ya nyumba unazidi kuwalemea wakenya wengi. Baadhi wakijipata katika mikono ya wamiliki wa nyumba wasiokuwa na huruma.
source