Saturday, 3 October 2026
Kenyan Digest

MWANAMKE BOMBA | Monica Waithera - Hutengeza Vyombo Vya Maua

1 min read
Published 14 April 2019

Biashara yake iliposambarika kutokana na athari za kiangazi , Monica Waithera hakufa moyo bali aliona kama fursa nyingine ya kuanza kuchimba upya riziki.
source