Monday, 5 October 2026
Kenyan Digest

Mzozo kuhusu kisiwa cha Migingo umeibuka tena

1 min read
Published 31 March 2019

Suala la mzozo baina ya Kenya na Uganda kuhusu kisiwa cha Migingo limeibuka tena siku moja tu kabla ya kuwasili kwa rais wa Uganda Yoweri Museveni.
source