Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

Wachezaji wa Etitrea Cecafa U-20 wazamia Jinja Uganda

1 min read
Published

Na Mwandishi Wetu akiwa Uganda, Jumamosi ya Oktoba 5 2019 ilikuwa siku ya kumalizika kwa michuano ya CECAFA U-20, mashindano hayo yaliitimishwa kwa michezo miwili. Mchezo wa kwanza ulikuwa wa Eritrea walioshinda 1-0 dhidi ya Sudan na kuibuka washindi wa tatu wa mashindano na mchezo wa pili ni Tanzania dhidi ya Kenya, Tanzania ikishinda 1-0 […]