Sunday, 11 October 2026
Kenyan Digest

Watu 3 waliofariki kwenye mkasa wa ndege ya Fly Sax wazikwa

1 min read
Published

Watu watatu walioangamia katika mkasa wa ndege ya fly sax eneo la njabini kaunti ya nyandarua akiwemo rubani msaidizi Jean muthoni, wamezikwa leo.
source