Connect with us

Entertainment

Why WCB’s Mbosso failed to perform in Malindi

Published

on


Tanzanian singer Mbosso was scheduled to perform over the Easter holiday at the Malindi festival. Well, fans from all over the country gathered in Malindi in anticipation for a performance from the Hodari hitmaker.

This, however, did not come to be as the former Ya Moto hitmaker failed to get on stage. With complaints from fans, the singer was forced to take to social media to explain what had really happened.

He explained:

Mapema sana Asubuhi ya jana nilipost Clip yangu ya kuonyesha nikiwa safarini kutoka Dare es Salaam Tanzania kuja Malindi Kenya, nilikuwa mtu mwenye furaha Sana kuonyesha ni kiasi gani ninashauku ya kufika kuimba na kufurahi na mashabiki zangu wa Malindi Kenya .. ila Mambo yakaenda tofauti kutokana na makubaliano waliofanya baina ya waandaaji wa show na Management Yangu kwenye upande wa malipo kutotimiza ahadi zao na kwenda kinyume na tofauti na walivyokubaliana na kusainishana kwenye mikataba na uongozi Wangu, hivyo basi management yangu haikuweza kuniruhusu kufanya show pasipo kukamilika kwa malipo waliokubaliana..

The singer then went ahead to apologize and give a piece of advce to the organisers of the show.

Poleni sana Mashabiki wangu Muliotoka Sehemu mbalimbali kuja kujumuika nami najua ni kiasi gani mmejisikia vibaya ila sikuwa na budi nilazima nifate kanuni za uongozi , ila Ukweli ni kuwa waandaaji wa show hawakutaka na hawakuonyesha nia yakutaka kulipa pesa iliyobakia kama malipo kutokana na makubaliano na uongozi wangu .. “Tafadharini sana waandaaji wa shows, jitahidini kukamilisha malipo ya msanii kama mulivyokubaliana na uongozi wake maana munatuingiza kwenye Changamoto kubwa sana na mashabiki zetu …” ?

Mbosso is the second WCB artiste to fail to perform after Harominze calleged that he wasn’t paid the full agreed amount in Eldoret, hence he didn’t perform.

Check out fans’ reactions:

ally_albusaidy
Dah imeniuma sana nimetoka Nakuru na Bus mpka malindi zaidi ya masaa 12 kwenye Bus Lakini sikufanikiwa kukuona.. Nimelia snaaa

snr_nyundo
Sasa deposit umerudisha ama umekula kwa sababu hujamaliza hii story

oga_job
Huo ni ushamba. Ni pesa ngapi io nilipe?

wafulamelvin97
Mie natokea Nairobi…mbosso tunakupenda sanaa Huku Kenya..hao mapromoter inafaa wawe makini sanaaa

wallah698
Pole Mbosso I still love you,hope to see you perform in Nairobi soon,all the best.Source link

Comments

comments

Trending